Searching...
Jumapili, 1 Desemba 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO KATIKA PICHA

 Hapa ni Meza kuu
 Wadau mbalimbali katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani

 Burudani ya nguvu inaendelea kutoka katika kikundi cha sanaa

 Dume Condoms wakitoa maelezo juu ya kinga
 Maandamano
 Bendi ikitumbuiza
 Vikundi mbalimbali, Mashule na wadau mbalimbali wakiwa katika maandamano ya Siku ya Ukimwi Duniani

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!