Searching...
Jumatatu, 2 Desemba 2013

HIVI NDIVYO LINNAH, BARNABA, STAMINA, RECHO WALIVYONOGESHA TAMASHA LA UKIMWI LA UVCCM BIAFRA KINONDONI

Linnah akiwa jukwaani na mmoja wa mashabiki wake
Recho
Mashabiki wakicheza wakati wa tamasha hilo
Barnaba Boy
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis akihutubia wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni kushuhudia tamasha la Ukimwi lililoandaliwa na UVCCM.
Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa, Mboni Mhita akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria tamasha hilo
Water Chilambo akifanya yake jukwaani

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!