Searching...
Jumapili, 29 Desemba 2013

BABA LA MUSIKI MSONDO NGOMA MAGOMA KITAKITA DISPLINE KWA WATOTO,HAPATOSHI TTC CHANG'OMBE

Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakitoa burudani kwa mashabiki walioudhulia onesho lao lililofanyika TTC Chang'ombe jumamosi kutoka kushoto ni Eddo Sanga,Othumani Kambi , Shabani Dede na Hasani Moshi.
Wapuliza ala wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande .
Wapiga magita wa msondo ngoma wakifulumusha magita hayo wakati walipokuwa wakitoa burudani kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani na Mustafa Pishuu

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!