Searching...
Ijumaa, 22 Novemba 2013

MAMBO YAMEANZA....WATU 10 WAPANDISHWA KIZIMBANI!!!!

Marehemu Dr Sengondo Mvungi enzi za uhai wake.

Watu 10 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu kwa shitaka la kumuua Dr. Mvungi. Kesi itasomwa tena Desemba 5 mwaka huu.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!