MAKUBWA: ZITTO KABWE AVULIWA VYEO VYOTE VYA KICHAMA!
Home
»
Unlabelled
» MAKUBWA: ZITTO KABWE AVULIWA VYEO VYOTE VYA KICHAMA!
Habari zilizotufukia hivi punde ni kwamba Chadema kimemvua Zitto Kabwe
vyeo vyote vya kichama kwa muda yaani Naibu Katibu Mkuu Taifa, Mjumbe wa
Kamati Kuu na Naibu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa
kukiuka taratibu za chama.
0 comments:
Chapisha Maoni