Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu vya
SAUT, St.Joseph na Chuo cha Ualimu Matogoro kwenye ukumbi wa Songea Club.
Wanafunzi wapatao 650 wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye ukumbi wa Songea Club.
Mkuu wa Wilaya
ya Songea mjini Ndugu Joseph Joseph Mkirikiti(wa kushoto) akiwa pamoja
na wadau wa elimu wa Wilaya ya Songea wakimsikiliza Karibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akiwasalimu wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyopo Songea .
Katibu wa Mkoa
wa Vyuo vya Elimu ya Juu Ndugu Christopher Ngubiagai akizungumza na
wanafunzi wa vyuo vikuu vya mjini Songea wakati wa kikao cha wanafunzi
na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kilichofanyika kwenye
Ukumbi wa Klabu ya Songea
Baadhi ya
wanafunzi wakisikiliza kwa makini masuala mbalimbali yaliyokuwa
yanajadiliwa kwenye kikao kilichowahisusha wanafunzi wa vyuo vikuu na
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye ukumbi wa klabu ya
Songea.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.