Mshambuliaji
wa Ruvu Shooting ,Juma Hamisi (kushoto) akiwania mpira na
Winga wa Azam Fc,Khamis Mcha, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara
uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Chamanz i jijini Dar es Salaam. Azam
imeshinda 3-0.
Wachezaji wa timu ya Azam Fc wakishangilia bao la
pili lililofungwa na Joseph Kimwaga dhidi ya Ruvu
Shooting katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.
Mshambuliaji wa Ruvu
Shooting ,Juma Hamisi (kushoto) akiwania mpira na Winga wa Azam Fc,Khamis Mcha,
katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
0 comments:
Chapisha Maoni