Wasamaria wema wakijaribu kutoa msaada.
|
Abiria hoi baada ya ajali. |
Dereva wa bodaboda akishika sehemu ya mguu wake iliyovunjika.
Wakisubiri msaada.
Bodaboda yao.
Wasamaria wema wakitafakari jinsi ya kuwakimbiza kupata matibabu.
Gari iliyowagonga.
Dereva wa bodaboda amevunjika mguu na abiria
wake kupoteza fahamu baada ya kugongwa na gari ndogo aina ya Toyota
Carina yenye namba za usajili T236ATJ . Ajali imetokea Barabara ya
Morogoro eneo la Kimara Stop Over jijini Dar wakati bodaboda hiyo
ilipokuwa ikitokea Mbezi kuelekea mjini kugongwa na gari hiyo ilitokea
upande huo kukunja kona upande kushoto wa ghafla na kuwazoa majeruhi
hao.
0 comments:
Chapisha Maoni