Searching...
Jumanne, 8 Oktoba 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMANNE OCTOBER 08-2013



WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
 UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 08/10/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mwanza na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Mara]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga , Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Rukwa na Shinyanga]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C               
12:27
D'SALAAM
33°C           
12:17
DODOMA
30°C
12:31
KIGOMA           
32°C
12:55
MBEYA
27°C
12:40
MWANZA
31°C
12:41
TABORA
32°C
12:43
TANGA
27°C
12:18
ZANZIBAR
31°C           
12:17
PEMBA
27°C
12:18
MOROGORO
32°C
12:24
 Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani
 Yote Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.Matazamio kwa usiku wa leo  Jumanne: 08/10/2013: Mabadiliko kidogo.
 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 08/10/2013.
 Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!