Bosi wa Real Madrid Carlo Ancelotti kwasasa anapanga mipango ya mwaka
mpya na tayari amewaambia ma scout wanaosaka vipaji kumtazama kiungo
huyo raia wa Brazil.
Ancelotti kwasasa anamsaka kiungo wa kucheza karibu na eneo la adui box-to-box midfielder,akiwa na mashaka kwa kiungo wake Xabi Alonso.

Madrid tayari wamehusishwa na viungo kadhaa wakiwemo Paulinho wa Spurs,lakini inaaminika pia jicho lake lipo kwa Ramires zaidi.
Ramires alitua Chelsea wakati Ancelotti akiwa kocha wa kikosi hicho na inaonekana kuwa kiungo huyo mwenye miaka 26 anapenda kuungana tena na bosi wake wa zamani.

0 comments:
Chapisha Maoni