Searching...
Jumanne, 8 Oktoba 2013

JAMANI MUACHENI DIAMOND AITWE DIAMOND,ANGALIA MAANDALIZI YA WIMBO WAKE MPYA.

Saa 6 usiku!Somewhere in Dar es salaam with ma producer
Tudd thomass nikukuandalia mambo mazuri mapya
Idea zipo nyingi kweli sijui nitumie ipi!!!!
Idea iko poa,tatizo mistari haipangiki kabisaa!!!
Huu mstali sijui uanze mwanzo??
.............au chorus asimamie mwanangu Chegge...???
Kisula nae!!na hapa alinipiga???
Ahsante Mungu,mistari yote imesimama penyewe...ila chorus sasa
Ha ha ha hivi Chegge stayle yangu na yako vinaendana kweli!!??
Tudd vipi  tena!!nishamaliza ananirudisha nyumaa..ha ha ha!!!!!
Saa 10 alfajiri!!Baby  ananipigia akihofia usalama wangu-dJ sEK bLO

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!