Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu kiongozi wa kambi rasmi ya
upinzani Bungeni Mh.Freeman Mbowe ikulu jijini Dar es Salaam jana.Nyuma
kushoto ni Kiongozi wa NCCR Mageuzi James Mbatia na Professa Ibrahim
Lipumba wa CUF.
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Tundu Lissu wa CHADEMA Nyuma ni James Mbatia NCCR Mageuzi
Rais akisalimiwa na John Myika wa Chadema
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mzungumzo na Viongozi wa
Vyama vya Siasa ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi
wa Vyama vya siasa muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu rasimu
ya katiba ikulu jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kutoka kushoto
Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa Ibrahim Lipumba
CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM, na Bibi Nancy Mrikaria
aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine Lyatonga Mrema.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi
wa Vyama vya vya siasa na wasaidizi wao waandamizi muda mfupi kabla ya
kuanza mazungumzo kuhusu rasimu ya katika ikulu jijini Dar es Salaam
leo.Kutoka kushoto mbele Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi,
Professa Ibrahim Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM,
na Bibi Nancy Mrikaria aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine
Lyatonga Mrema.Waliosimama Nyuma kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu CUF
Bwana Julius Mtatiro,Mhe. Tundu Lissu CHADEMA, Bwana Martin Mng’ong’o
NCCR Mageuzi ,Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge
William Lukuvi, Mhe.Habib Mnyaa CUF, Mbunge wa Ubungo Kwa tiketi ya
CHADEMA Mhe.John Mnyika, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na
Uratibu Mhe.Steven Wassira na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Mathias
Chikawe.
(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Chapisha Maoni