Sehemu ya Wanakamati wa Kamati ya maziko kutoka kushoto ni Misanya Bingi,Bashiru Hoza,ephraim kibonde....
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitia saini katika Kitabu cha maombolezo ya Kifo cha aliyewahi kuwa
mtangazaji wa Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud, marehemu
Julius Nyaisanga, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita huko
mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.
Marehemu Nyaisanya ameagwa jana katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni
na anasafirishwa kuelekea Tarime kwa ajili ya maziko.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyewahi kuwa
mtangazaji wa Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud, marehemu
Julius Nyaisanga, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita huko
mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu.
Marehemu Nyaisanya ameagwa jana katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni
na anasafirishwa kuelekea Tarime kwa ajili ya maziko.
Leah
Nyaisanga, ambaye ni mke wa marehemu wa aliyewahi kuwa mtangazaji wa
Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud, marehemu Julius
Nyaisanga, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu mumewe, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita huko
mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu,
wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya
Leaders Club Kinondoni na anasafirishwa kuelekea Tarime kwa
ajili ya maziko.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mfiwa Leah Nyaisanga, ambaye ni mke wa marehemu wa aliyewahi
kuwa mtangazaji wa Redio Tanzania, ITV na Redio One na Redio Aboud,
marehemu Julius Nyaisanga, aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita
huko mjini Morogoro kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la
damu. Marehemu Nyaisanya ameagwa jana katika viwanja vya Leaders Club
Kinondoni na kusafirishwa kuelekea Tarime kwa ajili ya maziko.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda akisema machache
Menyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, akizungumza machache....
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akisema machache
Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, akizungumza kutoka salam za rambirambi kwa wafiwa.
Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda (kulia) akiteta jambo na
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, wakati wa shughuli hiyo Viwanja
vya Leaders.
Sehemu ya waombolezaji waliojitokeza kumuaga marehemu Nyaisanga, katika Viwanja vya Leaders Club.
Sehemu
ya waombolezaji waliojitokeza kumuaga marehemu Nyaisanga, katika
Viwanja vya Leaders Club.
Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais.
0 comments:
Chapisha Maoni