RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE.
Leo ni siku ya furaha na ya kukumbuka siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu mpendwa wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete.
Ewe Mwenyezi MUNGU tunakuomba umpe maisha marefu rais wetu ili aweze kuliongoza taifa hili kwa amani na upendo.
HAPPY BIRTHDAY MR.PRESIDENT
Mchome Blog inakutakia maisha mema mheshimiwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete.
0 comments:
Chapisha Maoni