Searching...
Jumatano, 2 Oktoba 2013

AIRTEL YAKABIDHI VITABU VYA MILIONI 10 SEKONDARI NNE MKOANI DODOMA


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi akiwakabidhi msaada wa Vitabu  vilivyotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel Wanafunzi Mariamu Hamisi na Theodory Raymond wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Dodoma wengine katika picha nyuma ni meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson na Mkuuwa Shule hiyo Maico Masala
Mkuu wa Shele ya Sekondari ya Kibakwe  ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoan i Dodoma Augustine Senya (kulia) akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi msaada huo wa vitabu ulitolewa na Airtel kwa Sekondari tano za Mkoa wa Dodoma, wengine nyuma wanaoshuhudia ni kutoka kushoto ni Hedrick Werner Afisa masoko Airtel Kanda ya kati na  Saidimu Ngaleson Afisa mauzo Airtel Mkoa Dodoma
Afisa Elimu Taaluma Wilaya ya Chamwino Mkoani Dododma Hamisi Mapoto (kulia) akipokea msaada wa Vitabu kwa niaba ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Itisso na Mkuu wa Mkoawa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (kushoto) msaada huo umetolewa na kampuni ya simu ya Airtel,nyuma ni meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bihawana Dodoma Crispin Mtesigwa (kulia)  uliotolewa na Airtel kwa kwa shule hiyo jana ,wengine nyuma toka kushoto ni   meneja mauzo Airtel  Mkoa wa Dodoma Saidimu Ngaleson na mwalimu Helbet Ngusulwa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi msaada wa Vitabu vilivyotolewa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa shule tano za Sekondari za Mkoa wa Dodoma Kaimu Afisa Elimu taaluma Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma Sarael Jonas ,wengine ni  meneja mauzoAirtel Dodoma Saidimu Ngaleson (kulia) na Afisa masoko Airtel kanda ya kati Hendrick Werner

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!