Searching...
Jumanne, 10 Septemba 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMATANO 11-09-2013



 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
ITV – INDEPENDENT TELEVISION /RADIO ONE
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 11/09/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara  na Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua  katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Morogoro]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua  nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga na Tabora]: [Mikoa ya Kigoma, Rukwa, Iringa  na Mbeya]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                25°C               
12:31
D'SALAAM
             32°C            
12:20
DODOMA
28°C
12:34
KIGOMA           
32°C
12:58
MBEYA
24°C
12:42
MWANZA
29°C
12:46
TABORA
32°C
12:46
TANGA
29°C
12:21
ZANZIBAR
           30°C           
12:20
PEMBA
           28°C           
12:21
MOROGORO
28°C
12:27
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20kwa saa;  kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na  kutoka Mashariki  kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
 Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano: 11/09/2013: Mabadiliko kidogo.
 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 11/09/2013.
   Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!