WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 14/09/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara na
Mwanza]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa,
Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Morogoro, Dodoma
na Singida]:
[Mikoa ya Ruvuma, Mtwara na
Lindi]:
[Mikoa ya Shinyanga na
Tabora]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
12:31
|
D'SALAAM
|
32°C
|
12:20
|
DODOMA
|
31°C
|
12:34
|
KIGOMA
|
30°C
|
12:58
|
MBEYA
|
28°C
|
12:42
|
MWANZA
|
31°C
|
12:46
|
TABORA
|
34°C
|
12:46
|
TANGA |
30°C
|
12:21
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
12:20
|
PEMBA
|
29°C
|
12:21
|
MOROGORO
|
32°C
|
12:27
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa;kutoka
Kusini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa
Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi:
14/09/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 14/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni