Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi
wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio
za Bendera.
Wamama kutoka mkoa wa Iringa wakicheza ngoma ya kihehe wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera.
Wanachama
na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia salaam walizokuwa
wanapewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda.
Katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana Sixtus Mapunda akisalimia wakazi wa Ruaha Buyuni wakati
wa uzinduzi wa wa Mbio za Bendera ya Chama mkoani Iringa
Wananchi
akifuatilia kwa makini hotuba za viongozi wa chama waliofika wakati wa
uzinduzi wa Mbio za Bendera ya Chama mkoani Iringa.
Viongozi
wa Chama mkoani iringa wakifuatilia ratiba ya matukio mbali mbali
yaliyopangwa wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya Chama Mkoani
Iringa.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifungua Bendera ya Chama tayari kwa kuanza kwa mbio za Bendera ya Chama .
Vijana
wakakamavu wa chama wakiwa wamebeba picha ya Mwenyekiti wa Chama ambayo
itakimbizwa sanjali na Bendera ya Chama katika mkoa wa Iringa.
Bendera na Picha
ya Mwenyekiti ambazo lengo ni kuwakumbusha wana CCM kukilinda na
kukitetea chama ikiwa pamoja na kuwaeleza utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi.
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa ndugu Emmanuel Mteming'ombe akitoa salaam za utangulizi wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera.
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa ndugu Emmanuel Mteming'ombe akitoa salaam za utangulizi wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa Ruaha Mbuyuni wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya chama mkoani hapo |
Katibu wa NEC
Itikad na Uenezi akihutubia wakati wa Iringa ambapo aliwaambia mbio hizo
zitawasaidia wakazi wa mkoa huo kuelewa utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi, kukilinda na kujenga chama.
Katibu wa NEC akikabidhi mpira kwa moja ya timu zilizofanya vizuri.
Katibu wa NEC akikabidhi vyeti vya kutambua mchango wa mabalozi wa nyumba kumi .
Bendera ya Chama ikiwa juu kama ishara ya kuwa mbio za Bendera zimeshaanza.
0 comments:
Chapisha Maoni