Huyu mwanamke aliyejitanda Hijabu upande wa kushoto ndiye yule mwanamke SAMANTHA LEWTHWAITE anayetuhumiwa kupanga na kuongoza shambulio la kigaidi katika jumba la maduka ya kifahari Westgate jijini Nairobi nchini Kenya,hapo akionekana kama mmoja wa waokoaji kumbe anatoroka,laiti kama huyu askari aliyeshika bastola angejua!!!
Nahii hapa ni sehemu ya pasi yake ya kusafiria.
Nahii hapa ni sehemu ya pasi yake ya kusafiria.
0 comments:
Chapisha Maoni