Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani,
Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao unajadili
masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini. Mkutano
huo ambao unaenda sambamba na maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani
unafanyika katika hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani,
Pereira Ame Silima akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani kutoka mikoa yote nchini katika mkutano wa baraza hilo ambao
unajadili masuala mbalimbali ya jinsi ya kupunguza ajali za barabarani nchini.
Kulia ni Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga.
Mkutano huo ambao unaenda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani unafanyika katika hoteli ya Malaika Beach Resort jijini Mwanza leo.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Usalama Barabarani,
Pereira Ame Silima (wapili kutoka kushoto) pamoja na Kamanda wa Kikosi cha
Polisi Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga wakisikiliza mada mbalimbali za
usalama barabarani zilizokuwa zinawasilishwa katika mkutano wa Baraza la Taifa
la Usalama Barabarani lililowajumuisha Wenyeviti na Makatibu wa Kamati za Mikoa
yote nchini. Mkutano huo unaenda sambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa
Usalama Barabarani unafanyika katika hoteli ya Malaika Beach Resort jijini
Mwanza leo.
Picha na Felix Mwagara,
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
0 comments:
Chapisha Maoni