Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi Dar
es Salaam (DART), ya Strabag, wakiwa nje ya lango kuu la kuingilia makao
makuu ya kampuni hiyo, Ubungo, Dar es Salaam asubuhi hii baada ya
uongozi wa kampuni hiyo kuwafungia nje, kutokana na mgomo wa kudai
maslahi zaidi kufanyika jana.
NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
0 comments:
Chapisha Maoni