Polisi
wa Kitego cha Elimu, Trafiki Mkoa wa Mwanza, Francis Muganyizi akitoa elimu kwa
wananchi jinsi madereva wanatakiwa wawe waangalifu kwa kujua alama za
barabarani wakati wanapokuwa wanaendesha gari barabarani. Maonesho hayo ambayo
yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani humo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk
Emmanuel Nchimbi yameingia siku ya pili leo ambapo wananchi mbalimbali jijini
humo wanaingia kwenye mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba jiji humo
kujifunza masuala mbalimbali ya usalama barabarani. Kauli mbinu ya maadhimisho
ya mwaka huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE.
Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CPL Ibrahim Luena akitoa elimu kwa wanachi juu
ya buti za usalama wakati wa kuzima moto. Maonesho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani ambayo yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani Mwanza na Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi yameingia siku ya pili leo ambapo wananchi
jijini humo wanaingia kwenye mabanda mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba kujifunza
masuala mbalimbali ya usalama barabarani. Kauli mbinu ya maadhimisho ya mwaka
huu ni USALAMA BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE.

Wananchi
wakiwa ndani ya Banda la Wizara ya Ujenzi wakiuliza maswali mbalimbali jinsi
wizara hiyo inavyosimamia ujenzi wa barabara nchini. Maonesho ya Wiki ya
Nenda kwa Usalama Barabarani ambayo yalifunguliwa jana kitaifa Mkoani
Mwanza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi yameingia
siku ya pili leo ambapo wananchi jijini humo wanaingia kwenye mabanda
mbalimbali katika Uwanja wa CCM Kirumba kujifunza masuala mbalimbali ya
usalama barabarani. Kauli mbinu ya maadhimisho ya mwaka huu ni USALAMA
BARABARANI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
0 comments:
Chapisha Maoni