Unknown 18:18 0 comments AJALIIIIIIIIIIIII!!!!! UKUNGU WASABABISHA MAGARI 130 KUPATA AJALI KWA MPIGO Home » Unlabelled » AJALIIIIIIIIIIIII!!!!! UKUNGU WASABABISHA MAGARI 130 KUPATA AJALI KWA MPIGO Jumla ya magari 130 yamepata ajali kwa mpigo baada ya kutanda kwa ukungu mwembamba ghafla uliopelekea magari yaliyokuwa yanakwenda kasi kushindwa kuona mbele. Abiria waliokumbwa na ajali hiyo ya kihistoria. Msemaji wa jeshi la polisi wa kituo cha Kent amesema ni watu wanane tu waliojeruhiwa vibaya katika hiyo na wengine wengi ndio waliojeruhiwa najeruhi ya kawaida na kukimbizwa katika hospitalini. Hayo ni magari yaliyohusika katika ajali hiyo. polisi wamesema ilikua ni miujiza kuona magari 130 yanapata ajali kwa mpigo lakini hakukuwa na mtu yoyote aliyefariki dunia katika ajali hiyo iliyotokea mashariki mwa England. Share This To : Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Chapisha Maoni