Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mwenyekiti wa Asasi ya Kisiasa ya Konrad Adenauer
Foundation ya Ujerumani, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Umoja wa
Ulaya, Rais Mstaafu wa Bunge la Umoja wa Ulaya Dkt. Han-Gert Pottering
(kushoto) kwa Makamu, aliyeongozana na Ujumbe wake wakati walipofika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Asasi ya Kisiasa ya
Konrad Adenauer Foundation ya Ujerumani, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge
la Umoja wa Ulaya, Rais Mstaafu wa Bunge la Umoja wa Ulaya Dkt. Han-Gert
Pottering, aliyeongozana na ujumbe wake baada ya mazumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, leo.
0 comments:
Chapisha Maoni