Msikiti
mkubwa wa Answar Sunna uliopo barabara ya saba mjini Dodoma umewaka
moto mchana huu ikiwa ni muda mfupi baada ya swala ya mchana
kumalizika....
Kwa mujibu wa mashuhuda hao, moto huo umefanikiwa kudhibitiwa na
jeshi la zima moto na kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha
kutokana na moto huo.
0 comments:
Chapisha Maoni