Meneja wa uhusiano wa kampuni ya Airtel Jackson Mmbando akizungumza kwa njia ya simu na mshindi wa nyumba ya pili ya shindsno la Airtel yatosha jishindie nyumba 3 mara baada ya kuibuka mshindi katika droo iliyochezeshwa katika ofisi za airtel na waandishi wa habari.
Katika droo hiyo Bi.Anna Gustav Lymo 29 afisa wa benk kuu na mkazi wa Dar es salaam ambapo ameibuka kuwa mshindi wa nyumba bora ya kisasa iliyopo kigamboni jijini Dar es salaam.
kulia ni meneja masoko wa Airtel Anneth Muga na kushoto ni mwakilishi wa bodi ya kubahatisha Bwana Emmanuel Ndaki akishuhudia zoezi hilo.
0 comments:
Chapisha Maoni