Mwenyekiti
wa Kongamano la Vijana na Rasilimali, lililofanyika leo RiverSide,
Ubungo jijini Dar es Salaam, Christopher Ngubiagai, akifungua mjadala
kuhusu mada mbalimbali. Kushoto ni Waziri wa Nishati na madini Profesa
Sospeter Muhongo na watatu ni mtoa mada, Wakili Evod Mmanda ambaye pia
ni Mjumbe wa NEC wa CCM. Ngubiagai pia ni Katibu wa CCM mkoa wa vyuo vya
elimu ya Juu.
Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhomgo akitoa mada kuhusu
rasilimali ya madini, wakati kwenye kongamano la vijana na rasilimali za
taifa, leo Ubungo jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu wa
CCM, Vyuo vya elimu ya Juu, Christopher Ngubiagai ambaye pia alikuwa
Mwenyekiti wa kongamano hilo na watatu ni mwanasheria Evod Mmanda
aliyetoa mada kuhusu rasimu ya Katiba.
Wakili Mmanda akitoa mada kwenye kongamano hilo
Ngubiagai akizungumza kwenye kongamano hilo
Baadhi ya viongozi wa Vijana wa CCM kutoka vyuo vya elimu ya juu wakiwa kwenye kongamano hilo.
Baadhi ya wadau wakiwa kwenye kongamano hilo
Baadhi ya wadau wakifuatilia mada kwenye kongamano hilo
Wadau wakifuatilia hoja mbalimbali kwenye kongamano hilo
Baadhi ya wawakilishi kitoka vyombo mbalimbali vya habari wakichukua matukio kwenye kongamano hilo
Meza ya usajili wa waalilkwa waliofika kwenye kongamano hilo. Imetayarishwa na
0 comments:
Chapisha Maoni