Ni Ajali mbaya iliyosababishwa na magari mawili kugongana katika eneo la
Benaco maarufu kama ziroziri wilayani Ngara baada ya Lori aina ya Fuso
kugongana uso kwa uso na Basi dogo aina ya Toyota Hiace. Majeruhi
wamelazwa katika Hospitali teule ya Murgwanza. Miili ya marehemu iko
katika Hospitali ya wilaya ya Ngara-Nyamiaga
KWA HISANI YA NGARA KWETU
0 comments:
Chapisha Maoni