Yule msanii maarufu wa Nollywood nchini Nigeria Ramsey Nouah sasa ni baba wa familia akiwa na majukumu kibao ya kifamilia na ya kisanii lakini ameendelea kuwa karibu sana na mapenzi makubwa kwa familia yake kama unavyomuona aki-shine na familia yake yenye watoto wawili mmoja wa kike na kidume kimoja.
Ijumaa, 9 Agosti 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni