WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 12/08/2013.
|
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Shinyanga na Kigoma,]:
[Mikoa ya Dodoma, Ruvuma na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Mara, Kagera na Mwanza]:
[Mikoa ya Rukwa na Mbeya, Iringa]:
[Mikoa ya Pwani
na Dar es salaam]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
|
ARUSHA
|
25°C
|
12:38
|
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:21
|
|
DODOMA
|
28°C
|
12:37
|
|
KIGOMA
|
32°C
|
01:02
|
|
MBEYA
|
24°C
|
12:42
|
|
MWANZA
|
30°C
|
12:52
|
|
TABORA
|
30°C
|
12:50
|
TANGA |
29°C
|
12:25
|
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:21
|
|
PEMBA
|
29°C
|
12:25
|
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:28
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi
ya km 20 kwa Pwani yote
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa usiku wa Jumatatu:
12/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 12/08/2013.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni