Searching...
Jumanne, 13 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMANNE AGST 13,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 13/08/2013.

[Mikoa ya Tanga,Pwani  na Dar Es Salaam]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara, Kagera  na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora,Kigoma na Shinyanga,]:
[Mikoa ya Dodoma, Ruvuma na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Lindi na Mtwara]:
 [Mikoa ya Rukwa, Mbeya na Iringa]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
              24°C               
12:38
D'SALAAM
           32°C           
12:21
DODOMA
27°C
12:37
KIGOMA           
31°C
01:02
MBEYA
22°C
12:42
MWANZA
30°C
12:52
TABORA
31°C
12:50
TANGA
28°C
12:25
ZANZIBAR
           30°C           
12:21
PEMBA
           28°C           
12:25
MOROGORO
28°C
12:28
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa Pwani yote
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa usiku wa Jumanne: 13/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 13/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!