Searching...
Alhamisi, 15 Agosti 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA IJUMAA AGST 16,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 16/08/2013.

[Mikoa ya Kagera ,Mara na Mwanza]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Tanga,Pwani  na Dar Es Salaam]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
 [Mikoa ya Tabora,Kigoma na Shinyanga,]:
[Mikoa ya Dodoma, Ruvuma na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Lindi na Mtwara]:
 [Mikoa ya Rukwa, Mbeya na Iringa]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
      26°C               
12:38
D'SALAAM
          30°C           
12:21
DODOMA
30°C
12:37
KIGOMA           
31°C
01:02
MBEYA
27°C
12:42
MWANZA
27°C
12:52
TABORA
33°C
12:50
TANGA
28°C
12:25
ZANZIBAR
            30°C           
12:21
PEMBA
      28°C           
12:25
MOROGORO
29°C
12:28

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa Pwani ya Kaskazini

na kutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo kwa Pwani ya Kusini na makubwa kiasi kwa Pwani ya Kaskazini .

Matazamio kwa usiku wa Ijumaa: 16/08/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 16/08/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!