TONTO DIKEH
Tonto Dikeh alijaribu kujiua wiki chache zilizopita,mwandishi wa habari hii kutoka nchini Nigeria anasema "nilizipata habari hizi mapema tu baada ya jaribio la Tonto kutaka kujiua,lakini niliamua nisiandike chochote kuhusu hili kwasababu niliona ni jambo nyeti sana kisaikolojia,lakini ni kweli alitaka kujiua lakini Mungu mkubwa marafiki zake wa karibu walimsaidia"
"kama ningeandika hii taarifa siku zile,hakuna mtu angeamini,ni jambo ambalo hata mimi sikuliamini na lilinistua sana,ninalowaomba sasa ni kulichukulia tukio hili kawaida na msimuandame sana kwenye vyombo vya habari vya kijamii"alimalizia

Mwandishi huyu aliendelea kulonga kwamba sasa ameamua kuiandika habari hii kwasababu Tonto mwenyewe ameshaweka wazi kwenye ukurasa wake wa Instagram kilichotokea lakini watu wengi hawakujua au wameshindwa kuitafsiri picha aliyoiweka.
Tonto aliweka picha iliyosomeka hivi..

0 comments:
Chapisha Maoni