BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI DK
LU YOUGING, AKIWASILI MJINI TABORA NA KUPOKELEWA NA MKUU WA MKOA WA TABORA BIBI FATUMA MWASSA AKIWA AMEAMBATANA NA KUMI NA MBILI KUTOKA NCHINI CHINA.
HAPA MKUU WA MKOA WA TABORA BI.FATUMA MWASA AKIMTAMBULISHA KWA BAADHI YA WAKAZI NA VIONGOZI WA TABORA
BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI DK
LU YOUGING AKIFURAHIA JAMBO.
HAPA MKUU WA MKOA WA TABORA BI.FATUMA MWASA AKIONGOZANA NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI DK
LU YOUGING KUELEKEA OFISINI.
MADAKTARI BINGWA KUTOKA CHINA
BALOZI AKIITILIANA
SAINI MKATABA WA KUTOA MADAWA YA KUTIBU UGONJWA MARALIA PAMOJA NA
MSAADA WA MADAKITALI BINGWA WANNE WA MAGONJWA MIFUPA, WATOTO .AKINA
MAMA.
MSAADA WA DAWA
PICHA YA PAMOJA NA MADAKTARI BINGWA.
ZIARA
HIYO IMETOKANA NA WADAU WA MAENDELEO KUFANYA KONGAMANO NA WADAU WA
MAENDELLEO NCHINI HUKO JIJINI DAR ES SALAAM KWA LENDO LA KUWEKEZA MKOANI
TABORA.
BAADA YA KONGAMANO HILO MKUU WA MKOA WA TABORA
BIBI FATUMA MWASSA ALIMTEMBELEA BAROZI WA CHINI OFISINI KWAKE ILI KUKAMILISHA ZIARA HIYO.
BALOZI
HUYO NA WAJUMBE WAKE WAMETEMBELEA KATIKA SEHEMU MBALI MBALI KADHAA
ZIKIWEMO ZA, VIWANDA VIDOGO VIDOGO VYA KUKAMUA MAFUTA YA
ALIZETI,MAGHALA YA TUMBAKU SEHEMU YA KUJENGA BANDARI KAVU.
KATIKA
ZIARA HIYO BALOZI PIA ALITILIANA
SAINI MKATABA WA KUTOA MADAWA YA KUTIBU UGONJWA MARALIA PAMOJA NA
MSAADA WA MADAKITALI BINGWA WANNE WA MAGONJWA MIFUPA, WATOTO .AKINA
MAMA.
HABARI&PICHA NA SIMON KABENDERA TABORA
0 comments:
Chapisha Maoni