Searching...
Alhamisi, 8 Agosti 2013

MAUAJI YA RISASI YANATISHIA UHAI WA WATANZANIA...MHADHIRI WA CHUO KIKUU UDSM AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI

Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa kwa kupigwa na risasi. 
Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwa pikipiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea kusikojulikana na Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!