MAKAMU
WA RAIS AMEOONGOZA MAELFU YA WAUMINI WA MADHEHEBU YA DINI YA
KIISLAMU NCHINI KUPITIA MKOANI TABORA KATIKA KUSHEREHEKE SIKUKUU YA
IDDY EL FITIR.
AKIWAHUTUBIA WAUMINI HAO MAKAMU
WA RAIS DK MOHAMED GHARIB BILAL AMEWATAKA WAISLAMU NCHINI KUTUMIA MAFUNZO,
MAONYO, UTII, NA SALA WALIZOZIPATA KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI, KWA
KUDUMISHA AMANI NA UPENDO ILI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO AMBAZO ZINAJITOKEZA
HAPA NCHINI, KWA KUDUMISHA UKARIMU NA KUWAJALI WANYONGE
0 comments:
Chapisha Maoni