
Kama ilivyotangazwa awali CHADEMA jana wamefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika jimbo la Ukonga Eneo la Mazizini.Mkutano
huo ulihutubiwa na Mwenyekiti wa Bavicha Taifa John Heche akishirikiana
na vijana wa Bavicha Jimbo na viongozi wa Jimbo na Kata.
0 comments:
Chapisha Maoni