Searching...
Jumatatu, 5 Agosti 2013

CHADEMA WAIBUKA NA USHINDI KESI YA UGAIDI,HENRY KILEWO AACHIWA HURU TABORA

HENRY KILEWO NA WENZAKE WAKITOKA MAHAKAMANI TABORA
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora yafutilia mbali mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Kamanda Henry Kilewo na wenzake 4.Jaji amemaliza kutoa hukumu yake hivi punde na pia kufutilia mbali tuhuma za kosa la jinai lililokuwa likiwakabili makamanda hao.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!