Basi la Meridiani lililokuwa limetoka Rombo kwenda Dar. Limepinduka hapa
karibu na Mbwewe. Shuhuda wetu anasema kuwa Watu wamekufa. Basi limekatika siti zipo nje.
Dereva bado hajatolewa. taarifa ambazo si rasmi zinasema dereva wake kafia hapo hapo na
abiria wengine pia wamefariki, Taarifa kutoka RPC Pwani zinadai kuwa ametuma polisi kwenda eneo la tukio na hivi sasa wapo njiani, taarifa kamili fuatilia Blog hii
Jumapili, 11 Agosti 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni