Dolo na Nature
Juma nature akimpa pole ya hugg Prof J

Sauda Mwilima na Prof J.

Snura na deejay kim wa East Africa Radio






Kwa mujibu wa taarifa za familia ya Profesa J zinasema maziko yatafanyika jumapili tarehe 14.07 katika makaburi ya kinondoni jijini Dar es salaam.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAMA YETU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.
0 comments:
Chapisha Maoni