Searching...
Jumatatu, 15 Julai 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMATATU JULY 15,2013



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 15/07/2013

[Mikoa ya Mara, Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
 [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,  Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,  Rukwa na Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                30°C               
12:36
D'SALAAM
             31°C            
12:19
DODOMA
27°C
12:35
KIGOMA           
28°C
01:01
MBEYA
21°C
12:39
MWANZA
28°C
12:51
TABORA
30°C
12:49
TANGA
30°C
12:24
ZANZIBAR
          29°C           
12:19
PEMBA
         28°C           
12:24
MOROGORO
         28°C           
12:26

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa;kutoka Kusini  kwa Pwani ya Kaskazini                                      na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa usiku wa Leo Jumatatu: 15/07/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 15/07/2013.

 Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!