WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE
11/07/2013
Mkoa wa Mbeya (Maeneo ya
miinuko)
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Mara, Kagera,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma,
Kigoma, Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro
na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Rukwa na
Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
12:36
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:19
|
DODOMA
|
28°C
|
12:35
|
KIGOMA
|
28°C
|
01:01
|
MBEYA
|
21°C
|
12:39
|
MWANZA
|
29°C
|
12:51
|
TABORA
|
29°C
|
12:49
|
TANGA |
29°C
|
12:24
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:19
|
PEMBA
|
28°C
|
12:24
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:26
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa;
kwa
ukanda wote wa pwani.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.
Matazamio kwa
usiku wa leo Alhamisi: 11/07/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe: 11/07/2013.
Na: MAMLAKA YA
HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni