Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma-Lusahu
Rais
Kikwete akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha utamaduni cha Ngara
wakati wa uzinduzi wa kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo wilayani
Ngara
Rais
Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada ya
kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo Jumamosi Julai 27, 2013
Wananchi
wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani
Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu
Wananchi
wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasalimia wilayani
Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu.
(Picha zote na
Ikulu)
0 comments:
Chapisha Maoni