
Walioona msafara wa obama wataona namna msafara ulipita
kwa speed ya kawaida sana tofauti na ile speed tuliyozoea anapopita JK
- Maximum speed ya limo ya
obama ni 60mph tu, sawasawa na kilomita kama 97 kwa saa. hii gari haina
ujanja wa kwenda hata 100km kwa saa, hata boda boda inaweza kwenda
speed kuliko hii gari
- ina uzito unaokadiria kukaribia tani 9
- matumizi ya mafuta ni 8mpg, kwa
lugha ingine inahitahi lita 35.31 ili kutembea kilomita 100, hii ni sawa
na lita 1 kwa kila kilomita 2.8
- vioo vyote havifunguki isipokua pale kwa dereva kwa mbele. gari liko 100% sealed
- Vioo vya dirishani vina thickness ya inchi 5 wakati milango ni nchi 8.
- kutokana na unene wa madirisha
na milango, obama hawezi kusikia chochote kinachoendelea nnje, spika
zimewekwa ili kunasa sauti za nje
- gari ina night vision kamera zinazomuwezesha dereva kuendesha usiku bila hata kuwasha taa
0 comments:
Chapisha Maoni