Searching...
Jumatatu, 8 Julai 2013

HALIMA MDEE NA WOLPER NGOMA DROO


 Pambano kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper iliishia droo kwa kufungamana kwa makonde 10-10.

 

Aunt Ezekiel akijiandaa kabla ya kuanza pambano dhidi ya Mbunge Ester Bulaya.

  Mbunge Ester Bulaya akikwepa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto).

 Napo hapakupatikana mshindi..iliishia 5-5 kati ya Mbunge Ester Bulaya (kulia) na muigizaji Aunt Ezekiel

Muigiziaji wa Bongo Movie Jackline Wolper akielekea ulingoni.

Mheshimiwa Halima Mdee, Mbunge wa Kawe akisindikizwa ulingoni na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari..picha zote kwa hisani ya Tigo Tanzania
 
Wolper akiwa ulingoni tayari kwa pambano.…
 
Mhe. Halima Mdee akiingia uwanjani.
Wolper akiwa ulingoni tayari kwa pambano.
Mdee na Wolper wakizipiga.
Ngoma droo.
Mh.Halima Mdee akitolewa nje kwa mbwembwee

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!