WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 05/06/2013.
[Mikoa ya Tanga, Dar es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya mawingu kiasi,
mvua nyepesi katika maeneo
machache na vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Iringa, Mbeya ,
Morogoro na Ruvuma]:
[Mikoa ya Kagera ,Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na
Tabora] :
[Mikoa ya Dodoma Singida
na]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:28
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:11
|
DODOMA
|
27°C
|
12:27
|
KIGOMA
|
29°C
|
12:53
|
MBEYA
|
22°C
|
12:31
|
MWANZA
|
31°C
|
12:43
|
TABORA
|
29°C
|
12:41
|
TANGA |
30°C
|
12:16
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:11
|
PEMBA
|
29°C
|
12:16
|
MOROGORO
|
29°C
|
12:18
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini
kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka
Kusini Mashariki kwa kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi hadi makubwa
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumatano 05/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 05/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni