Searching...
Ijumaa, 21 Juni 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI TAREHE 22.06.2013 UKIWA NA TAHADHARI


      WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
                        TAREHE 22/06/2013.

[Mikoa ya Dar es Salaam ,Tanga, Lindi na  Pwani]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,  Mtwara na Ruvuma]:
 [Mikoa ya Dodoma, Morogoro na Singida]:
 [Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Tabora] :

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

Tahadhari:  Upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 yanatarajiwa    katika maeneo ya ukanda wote wa Pwani. Tafadhali chukua tahadhari.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               22°C               
12:32
D'SALAAM
           30°C           
12:14
DODOMA
26°C
12:29
KIGOMA           
31°C
12:55
MBEYA
21°C
12:34
MWANZA
28°C
12:49
TABORA
28°C
12:43
TANGA
30°C
12:18
ZANZIBAR
            28°C           
12:14
PEMBA
             28°C           
12:18
MOROGORO
         28°C       
12:21

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki  kwa kasi ya km 40 kwa saa;  kwa pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumamosi 22/06/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 22/06/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!