HATARI HIFADHI ZA TAIFA-SILAHA ZA KUTISHA ZAKAMATWA KIGOMA
Home
»
Unlabelled
» HATARI HIFADHI ZA TAIFA-SILAHA ZA KUTISHA ZAKAMATWA KIGOMA
Mkuu wa hifadhi ya Taifa ya milima ya mahale Herman Batio, akiwaeleza
waandishi wa habari juu ya kukithiri kwa ujangili katika hifadhi hiyo ya mahale mkoani kigoma.
Juu na chini ni Baadhi tu ya silaha zilizokamatwa pembezoni mwa hifadhi za taifa zikionyeshwa mbele ya wanahabari
Hizo ni baadhi tu ya silaha za asili maarufu kama magobole zinazotumika kuulia wanyama katika hifadhi mbalimbali za taifa hapa nchini
Hapa kamanda wa polisi akionyesha moja ya silaha hizo zilizotengenezwa kienyeji aina ya magobole
Kwa mtindo huu ni lazima Swala,Nyumbu,Nyati,Twiga,Tembo na Kongoni waishe kwenye Mbuga zetu
Picha na habari kwa hisani ya DEOGRATIUS NSOKOLO-Kigoma
0 comments:
Chapisha Maoni