 |
| Mbunge Moses Machallia NCCR (Kasulu Mjini) |
Katika picha ni mbunge machallia wa NCCR Kasulu mjini akiwa amelazwa wodini maalum katika hospitali ya General dodoma baada ya kupigwa na watu wasiojulikana usiku wa jana na kumjeruhi.Tukio hili lilitokea katika eneo la area E mjini dodoma wakati akitoka kuhudhuria kikao cha bunge la bajeti
0 comments:
Chapisha Maoni