Hii
ni hatua nzuri ya maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa umakini
picha hizi kwa ghafla unaweza usiamini kama ni zanzibar labda baadhi ya
muonekano wa juu utagundua ndio kisiwani zanzibar...Maendeleo
yaliyokuwepo kwenye bandari hii ni makubwa sana ukilinganisha na
Bandari ya zamaniilivyokuwa inaonekana lakini kwa sasa ni kitu
kingine,ukifika bandarini hapo unaweza ukasahaukama upo kisiwani
hapo...!Ni maendeleo makubwa kabisa kwa kisiwani zanzibar na ni mfano
wa kuigwa kokote pale kwahatua waliyopiga....Zifuatazo Ni Picha za
muonekano huo mpya wa Bandari ya kisiwani zanzibar....!! Inasemekana Mmiliki wa Azam Ndugu Bakhresa ndio aliedhamini mchakato mzima wa kutengenezwa kwa bandari hiyo...!! |
0 comments:
Chapisha Maoni